Watu 10 Matajiri Zaidi Barani Afrika

  1. Aliko DangoteNigeria

Utajiri: Dola bilioni 13.3

Chazo cha Utajiri: Simiti, Unga, Sukari, Chumvi

  1. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini

Utajiri: Dola bilioni 7.7

Chanzo cha Utajiri: Almasi

3. Johann RupertAfrika Kusini

Utajiri: Dola Bilioni 7.2

Chanzo cha Utajiri: Bidhaa za Anasa

4. Nassef SawirisMisri

Utajiri: Dola Bilioni 6.8

Chanzo cha Utajiri: Ujenzi, Kemikali

5Christoffel WieseAfrika Kusini

Utajiri: Dola Bilioni 5.9

Chanzo cha Utajiri: Maduka

6. Mike AdenugaNigeria

Utajiri: Dola Bilioni 5.1

Chanzo cha Utajiri: Mawasiliano, Mafuta, Majengo

7. Nathan KirschSwaziland

Nathan Krisch

Utajiri: Dola bilioni 4.7

Chanzo cha Utajiri: Maduka

8. Naguib SawirisMisri

Naguib Sawiris

Utajiri: Dola Bilioni 4.1 billion

Chanzo cha Utajiri: Mawasiliano

9. Issad Rebrab, Algeria

Utajiri: Dola Bilioni 3.9

Chanzo cha Utajiri: Chakula

9. Isabel dos SantosAngola

Utajiri: Dola Bilioni 2.6

Chanzo cha Utajiri: Uwekezaji