15/08/ 2020

Jinsi wanasayansi wanavyolenga kudukua ubongo wa mwanadamu

Nipashe Online: NeuraLink, kampuni ilioanzishwa na Elon Musk ili kutafuta mbinu za kuunganisha ubongo wa mwanadamu na tarakilishi imewasilisha ombi kwa wadhibiti wa Marekani...

Facebook, Instagram na WhatsApp zakabiliwa na matatizo ya kiufundi

Nipashe Online: Baadhi ya watumiaji wa Facebook, Instagram na WhatsApp walishindwa kuweka picha, video na mafaili. Facebook, inayomiliki App zote tatu, imesema inafahamu kuhusu tatizo...

Jinsi nchi zenye silaha za nyuklia zinazifanya za kisasa zaidi

Nipashe Online: Nchi zenye silaha za nyuklia zinazidi kuzifanya za kisasa, licha ya kupungua kwa idadi ya vichwa vya nyuklia vinavyoweza kutumiwa vitani. Hayo...

Athari ya Google kupiga marufuku Huawei kutumia huduma za Android

Nipashe Online: Google imepiga marufuku kampuni ya simu ya pili kubwa duniani, Huawei, kutumia baadhi ya huduma kutoka mfumo wa uimarishaji kazi ya simu...

Huawei yalalamikia kuzuiwa soko la Marekani

Nipashe Online: Kampuni kubwa ya mawasiliano ya Huawei ya nchini China, imelalamikia ilichokiita ''vizuizi visivyo na msingi'' kwenye soko la Marekani, baada ya Rais...

Yabainika kuwa WhatsApp ilidukuliwa wiki iliyopita

Nipashe Online: Wadukuzi wanaweza kuweka programu ya Sofware ya kuchunguza taarifa kwenye simu yako na vifaa vingine vinavyotumiwa kwa kutuma ujumbe wa WhatsApp, imethibitishwa. WhatsApp,...

Mdukuzi hodari aliyezima kirusi cha WannaCry akiri makosa mawili

(Nipashe Online): Mwanamume raia wa Uingereza ambaye alisifiwa sana kwa kuzuai udukuzi wa mitandao wa dunia nzima amekiri makosa ya udukuzi nchini Marekani. Marcus Hutchins,...

Chombo cha anga za mbali cha Israel chashindwa kutua mwezini

(Nipashe Online) Chombo cha kwanza cha kibinafsi cha kutoka nchini Israel kimeshindwa kutua mwezini. Chombo hicho kwa jina Beresheet kilijaribu kutua kwenye mwezi lakini injini yake...

Warekodi kisiri na kuonyesha video za wageni hotelini Korea Kusini

Zaidi ya wageni 1,500 wa hoteli walirekodiwa kisiri na video zao kuonyeshwa moja kwa moja mitandaoni kwa mujibu wa polisi nchini Korea Kusini. Shughuli hizo...

Facebook yakumbwa na hitilafu kubwa zaidi katika historia

Facebook imekumbwa na hitilafu kubwa zaidi katika historia ambapo huduma muhimu zikikwama kwa watumiaji kote duniani siku ya Jumatano. Mara ya mwisho Facebook ilikumbwa na...

KWA PICHA