15/08/ 2020

Urusi yazindua darubini ya kudhibiti joto la anga

Nipashe Online: Moja ya safari muhimu zaidi za kisayansi nchini Urusi kuwahi kushuhudiwa katika baada ya utawala wa utawala wa Kisovieti imezinduliwa kutoka eneo...

Wanasayansi wagundua chumvi inayowezi kutumika katika chakula mwezini

Nipashe Online: Bahari kubwa inayopatikana katika mwezi wa sayari ya Jupiter ina chumvi- kama ile inayotumia katika samaki wako na viazi karai! Kulingana na wanasayansi,...

India: Kijiji kilichozama kinachoonekana mwezi mmoja kwa mwaka

Nipashe Online: Kijiji cha kimoja magharibi mwa India kinaonekana kwa mwezi mmoja - miezi 11 iliyosalia, kijiji hicho huzama chini ya maji. Maji yanapokauka, wakaazi...

Mti mrefu zaidi duniani wagunduliwa Asia

Nipashe Online: Wanasayansi nchini Uingereza na Malaysia wamegundua mti mrefu zaidi duniani ulio na urefu wa zaidi ya mita 100 au futi 328. Mti huo...

Marekani kuwapeleka tena wanasayansi mwezini ndani ya miaka mitano

Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence ametangaza lengo la haraka la kuwapeleka wamarekani mwezini tena, ndani ya miaka mitano "kwa nja yoyote ile,"...

Chombo kipya cha Marekani cha kusafirisha wanasayansi chawasili salama ISS

Chombo kipya cha kusafirisha wanasayansi kwenda kituo cha kimataifa kimewasili salama katika kituo cha kimataifa cha ISS kama sehemu ya moanyesho kuhusu vile shighuli...

Nyuki mkubwa zaidi duniani agunduliwa tena licha ya kudhaniwa kutoweka

Nyuki mkubwa zaidi duniani amegunduliwa tena baada ya miongo kadhaa akidhaniwa kuwa alitoweka duniani. Nyuki huyu mkubwa sawa na ukubwa wa kidole gumba cha mtu...

Kenya mbioni kujenga kituo cha utafiti wa sayari

SERIKALI ya Kenya iko mbioni kujenga kituo cha kwanza kabisa cha kuangalilia sayari angani kama vile mwezi na nyota, katika eneo la Turkana. Kituo hicho...

Dunia kushuhudia joto la juu zaidi miaka michache inayokuja

Dunia iko katikati ya kipindi cha miaka kumi yenye joto la juu zaidi tangu rekodi zianze kuwekwa mwaka 1850 kwa mujibu wa wanasayansi. Ofisi ya...

Mbegu zilizopelekwa mwezini na chombo cha China zaanza kuota

Mbegu za pamba zilizopelekwa mwezini na chombo cha anga za mbali cha China Chang'e-4 zimeota, kwa mujibu wa shirika la anga za mbali la China. Hii...

KWA PICHA