15/08/ 2020

Trump aamuru vikwazo vikali zaidi dhidi ya Iran

Nipashe Online: Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kufuatia mashambulio katika visima vya mafuta vya Saudi Arabia. Rais Trump amesema...

Mwalimu bora duniani kutoka Kenya akutana na Trump Ikulu ya Marekani

Nipashe Online: Peter Tabichi kutoka Kenya, aliyetuzwa Mwalimu bora duniani mapema mwaka huu, amekutana na rais wa Marekani Donald Trump katika ikulu ya White...

Trump anasema hataki vita na Iran baada ya mashambulizi Saudi Arabia

Nipase Online: Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hataki vita na Iran. Hii ni baada ya mashambulizi katika visima viwili vya kuzalisha mafuta...

Trump athibitisha kuwa mwanawe Osama Bin Laden aliuawa

Nipashe Online: Rais awa Marekani Donald Trump amethibitisha kwamba Hamza Bin Laden mwana wa mwanzilishi wa kundi la Al Qaeda Osama Bin Laden aliuawa...

Waasi wa Houthi wakiri kushambulia vituo vya mafuta Saudi Arabia

Nipashe Online: Ndege zisizokuwa na rubani ambazo waasi wa Houthi wamekiri kuzimiliki zimeshambulia eneo kubwa la kutengenezea mafuta nchini Saudi Arabia pamoja na eneo...

Rwanda yachukua wakimbizi 500 waliokwama Libya

Nipashe Online: Mamia ya wakimbizi waliokuwa wamekwama kwenye vituo vya kuhifadhi wakimbizi nchini Libya watahamishiwa Rwanda. Umoja wa Mataifa umesema hatua hiyo ni sehemu...

Trump amfuta kazi mshauri wa masuala ya usalama John Bolton

Nipashe Online: Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi mshauri wa usalama wa kitaifa John Bolton kwa kukosa kuelewana naye kuhusu jinsi ya kushughulikia...

Wanajeshi wa Iran washambuliwa na ndege zisizojulikana Syria

Nipashe Online: Mashambulizi ya angani yamepiga maeneo ya wapiganaji wanaoungwa mkono na Iran karibu na mpaka wa Syria na Iraq kulingana na wanaharakati. Shirika la...

Hezbollah yadai kuidungua ndege ya Israel

Nipashe Online: Jeshi la Israeli limesema leo kuwa ndege yake moja isiyo na rubani imedunguliwa huko Lebanon. Israel haikukana moja kwa moja madai ya...

Iran yapuuza vitisho vya Marekani na kuuza mafuta

Nipashe Online: Meli ya mafuta iliyokuwa ikishukiwa kujaribu kufikisha mafuta ya Iran nchini Syria licha ya vikwazo vya kimataifa hatimaye imeuza shehena iliyokuwa ikisafirisha. Picha...

KWA PICHA