15/08/ 2020

Messi amesema angependa kumuona Neymar akirejea Barcelona

Nipashe Online: Lionel Messi anasema "angependa" Neymar kurudi Barcelona kwani kuwasili kwake kungekuwa "kumeongeza nafasi ya kufikia malengo yetu." Neymar, 27, alijiunga na Paris St-Germain...

Virgil van Dijk kuwafunika Tena Messi, Ronaldo tuzo za FIFA?

Nipashe Online: Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limetangaza majina matatu yakayaoingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania uchezaji bora wa shirikisho hilo katika ngazi...

Zlatan Ibrahimovic ataka kurejea Man United

Nipashe Online: Mshambuliaji wa LA Galaxy Zlatan Ibrahimovic amesema yupo tayari kurejea klabu yake ya zamani ya Manchester United mwezi Novemba. Mshambuliaji huyo mkongwe mwenye...

Uvumi katika soka barani Ulaya leo Ijumaa 30.08.2019

Nipashe Online: Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 26, hatosaini...

Griezmann afungua ukurasa wake wa magoli katika Barcelona

Nipashe Online: Mshambuliaji wa Barcelona Antoine Griezmann amefungua rasmi ukurasa wa magoli ndani ya timu hiyo kwenye Ligi Kuu ya Hispania dhidi ya Real...

Liverpool mbabe wa Arsenal, yailaza 3 – 1

Nipashe Online: Liverpool wameendelea kulinda nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa EPL baada ya kupata ushindi kwenye mechi tatu mfululizo sambamba na ya leo...

Bayern yampa Coutinho mwanzo mpya

Nipashe Online: Bayern Munich leo wamekamilisha usajili wa Mbrazili Philippe Coutinho kutoka Barcelona kwa mkopo wa msimu mzima. Klabu hiyo ya Ujerumani imesema Coutinho alikamilisha...

Staa wa Sierra Leone asitisha mkataba Ulaya kwa sababu ya baridi kali

Nipashe Online: Mshambuliaji wa Sierra Leone Musa Noah Kamara ameufuta mkataba wake na klabu yake ya Sweden Trelleborgs baada ya kuwa nao kwa wiki...

Lampard akaribishwa Premier League kwa kipigo Old Trafford

Nipashe Online: Manchester United imeandika historia mpya kabisa ya kuibuka na ushindi mkubwa zaidi kuwai kutokea ndani ya Old Trafford tangu mwaka 1965 ilipocheza...

Mkusanyiko wa patashika ya usajili wa wachezaji EPL

Nipashe Online: Dirisha kubwa la usajili England limefungwa rasmi leo Ijumaa baada ya kudumu kwa takribani siku 30 na zaidi huku kila timu ikifanya...

KWA PICHA