13/11/ 2019
Nyumbani Dunia Ukurasa 3

Dunia

From festivals in Florida to touring Dracula’s digs in Romania, we round up the best destinations to visit this October. As summer abandons Europe again this October, eke out the last of the rays and raves in Ibiza, where nightclubs will be going out with a bang for the winter break. When the party finally stops head to the island’s north.

Wanajeshi wa Iran washambuliwa na ndege zisizojulikana Syria

Nipashe Online: Mashambulizi ya angani yamepiga maeneo ya wapiganaji wanaoungwa mkono na Iran karibu na mpaka wa Syria na Iraq kulingana na wanaharakati. Shirika la...

Hezbollah yadai kuidungua ndege ya Israel

Nipashe Online: Jeshi la Israeli limesema leo kuwa ndege yake moja isiyo na rubani imedunguliwa huko Lebanon. Israel haikukana moja kwa moja madai ya...

Iran yapuuza vitisho vya Marekani na kuuza mafuta

Nipashe Online: Meli ya mafuta iliyokuwa ikishukiwa kujaribu kufikisha mafuta ya Iran nchini Syria licha ya vikwazo vya kimataifa hatimaye imeuza shehena iliyokuwa ikisafirisha. Picha...

Iran yatumia mashine za hali ya juu kurutubisha madini ya Urani

Nipashe Online: Iran imethibitisha itatumia mashine za kisasa zaidi kurutubisha madini yake ya urani katika awamu ya tatu ya kujiondoa kwenye mkataba wa nyuklia...

Wasifu wa marehemu rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe

Nipashe Online: Robert Mugabe Rais wa kwanza wa Zimbabwe anaacha nyuma hiba ya uongozi wake wa miaka 37 katika taifa hilo la kusini mwa...

Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe afariki dunia

Nipashe Online: Muasisi wa taifa la Zimbabwe Robert Mugabe ameaga dunia huko Singapoe akiwa na umri wa miaka 95 kwa mujibu wa familia. Mugabe amekuwa...

Jogoo aliyeshtakiwa kwa kuwika sana ashinda kesi dhidi ya majirani

Nipashe Online: Mahakama ya Ufaransa imetoa hukumu ikumuunga mkono mmiliki wa jogoo mmoja baada ya kelele za alfajiri za kuku huyo kuwakera majirani zake. Maurice...

Putin kutengeneza makombora mapya

Nipashe Online: Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema leo kwamba Urusi itaanza kutengeneza makombora ambayo yalikuwa yamepigwa marufuku chini ya mkataba wa nyuklia wa...

Papa Francis aanza ziara barani Afrika

Nipashe Online: PaPapa Francis leo anaanza ziara rasmi ya kihotoria barani Afrika wiki hii - akiwa anazitembelea Msumbiji, Madagascar na Mauritius. Umaskini, uhifadhi wa mazingira...

Mashambulizi ya muungano wa nchi za Kiarabu yaua zaidi ya 100 Yemen

Nipashe Online: Chama cha msalaba mwekundu na mwezi mwekundu (ICRC) nchini Yemen kimebaini kwamba zaidi ya watu 100 wameuawa katika mashambulizi yaliyoendeshwa na muungano...

KWA PICHA