10/11/ 2019
Nyumbani Dunia Ukurasa 2

Dunia

From festivals in Florida to touring Dracula’s digs in Romania, we round up the best destinations to visit this October. As summer abandons Europe again this October, eke out the last of the rays and raves in Ibiza, where nightclubs will be going out with a bang for the winter break. When the party finally stops head to the island’s north.

Trump aamuru vikwazo vikali zaidi dhidi ya Iran

Nipashe Online: Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kufuatia mashambulio katika visima vya mafuta vya Saudi Arabia. Rais Trump amesema...

Netanyahu amsihi mpinzani wake mkubwa waunde serikali ya umoja

Nipashe Online: Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemtolea wito mpinzani wake mkubwa Benny Gantz waunde serikali ya umoja. Katika risala yake kupitia kanda ya...

Huenda kukaundwa serikali ya muungano Israel

Nipashe Online: Matokeo ya awali katika uchaguzi wa Israel yanaonyesha kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na wapinzani wake wa siasa za kidini na kizalendo...

Waisraeli wapiga kura kuamua hatma ya Netanyahu

Nipashe Online: Wananchi wa Israeli wanapiga kura leo Jumanne katika uchaguzi wa wabunge unaowapambanisha Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, madarakani kwa muongo mmoja, na mkuu...

Trump anasema hataki vita na Iran baada ya mashambulizi Saudi Arabia

Nipase Online: Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hataki vita na Iran. Hii ni baada ya mashambulizi katika visima viwili vya kuzalisha mafuta...

Trump athibitisha kuwa mwanawe Osama Bin Laden aliuawa

Nipashe Online: Rais awa Marekani Donald Trump amethibitisha kwamba Hamza Bin Laden mwana wa mwanzilishi wa kundi la Al Qaeda Osama Bin Laden aliuawa...

Waasi wa Houthi wakiri kushambulia vituo vya mafuta Saudi Arabia

Nipashe Online: Ndege zisizokuwa na rubani ambazo waasi wa Houthi wamekiri kuzimiliki zimeshambulia eneo kubwa la kutengenezea mafuta nchini Saudi Arabia pamoja na eneo...

Netanyahu akosolewa kwa kuahidi kumega kimabavu bonde la Jordan

Nipashe Online: Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kwamba ahadi ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba atalinyakua kwa mabavu...

Mwili wa Robert Mugabe wawasili nyumbani Zimbabwe

Nipashe Online: Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe umewasili nchini Zimbabwe kutokea Singapore, ambapo alifariki juma lililopita akiwa na miaka 95. Mugabe, alikuwa kiongozi...

Trump amfuta kazi mshauri wa masuala ya usalama John Bolton

Nipashe Online: Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi mshauri wa usalama wa kitaifa John Bolton kwa kukosa kuelewana naye kuhusu jinsi ya kushughulikia...

KWA PICHA