30/03/ 2020
Nyumbani Dunia Ukurasa 136

Dunia

From festivals in Florida to touring Dracula’s digs in Romania, we round up the best destinations to visit this October. As summer abandons Europe again this October, eke out the last of the rays and raves in Ibiza, where nightclubs will be going out with a bang for the winter break. When the party finally stops head to the island’s north.

Kimbunga Irma: Watu 6 wafariki kwenye makao ya wazee Florida

Watu watano katika makao ya kuwatunza watu wazee ambayo yalibaki bila umeme kwa siku kadhaa baada ya kimbunga Iram wamefariki. Polisi waliondoa karibu watu 120...

Trump kuzuru Florida kukagua uharibifu wa kimbunga Irma

Rais wa Mareknai Donald Trump anatararajiwa kusafiri kwenda Florida siku ya Alhamisi kukagua uharibifu uliosababishwa na kimbunga Irma kilopokuwa kikipitia jimbi jhilo. Itakuwa safari ya...

Nchi za Ulaya zapeleka misaada kwa visiwa vilivyoharibiwa na kimbunga Irma

  Nchi za Ulaya zimechukua hatua za kupeleka misaada katika himaya zao za Caribbean zilizoharibiwa na kimbunga Irma licha na malalamiko kuhusu kuchelewa kwa hatua...

Korea Kaskazini: Tutailetea Marekani machungu makubwa

Korea Kaskazini imetishia Marekani na kusema kuwa itasababisaha machungu makali ambayo Marekani haijawai kushuhudia kufuatia vikwazo vipya vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa. Mjumbe wa Korea...

Huduma za jamii zitachukua muda kurejea Florida

Gavana wa Florida amekuwa akitoa maelezo ya operesheni ya kazi ya misaada inavyofanyika kutokana na hali inayoikabili Marekani baada ya kukumbwa na kimbuga na...

Uturuki yanunua mfumo wa kujilinda na makombora kutoka kwa Urusi

Uturuki imetia saini makubaliano yaliogubikwa na utata na Urusi kulihami jeshi lake na mfumo wa kudungua makombora wa S-400. Rais Reccep Tayyip Erdogan alisema kwamba...

Korea Kaskazini yawekewa vikwazo vipya

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini kama adhabu ya kufanyia majaribio zana zake za...

Kimbunga Irma chaingia jimbo la Florida

Kimbunga Irma kimepiga visiwa vilivyo kusini mwa jimbo la Florida nchini Marekani kikiwa katika kiwango cha nne, kwa mujibu wa watabiri wa hali ya...

KWA PICHA