13/08/ 2020
Nyumbani Dunia

Dunia

From festivals in Florida to touring Dracula’s digs in Romania, we round up the best destinations to visit this October. As summer abandons Europe again this October, eke out the last of the rays and raves in Ibiza, where nightclubs will be going out with a bang for the winter break. When the party finally stops head to the island’s north.

Marekani yafanya mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Iran

Nipashe Online: Jeshi la Marekani limetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya ngome za kundi moja la wanamgambo wenye mafungamno na serikali ya Tehran, na...

Vikosi vya usalama vyaua zaidi ya watu 100 katika maandamano Iraq

Nipashe Online: Maandamano dhdi ya serikali nchini Iraq yaliingia siku ya tano jana Jumamosi katika mji mkuu Baghdad na majimbo mengine huku waandamanaji wakichoma...

Korea Kaskazini yafyatua makombora kuelekea Japan

Nipashe Online: Korea Kaskazini imefyatua makombora ambayo hayajatambuliwa mara moja kuelekea Bahari ya Mashariki, ambayo pia hujulikana kama Bahari ya Japan. Taarifa hizi ni kulingana...

Mawakili waeleza wasiwasi juu ya usalama wa mlalamikaji dhidi ya Trump

Nipashe Online: Mawakili wanaomwakilisha afisa usalama aliyetoa malalamiko na kupelekea uchunguzi dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump wanaelezea umuhimu wa kulinda jina la...

Waasi wa Houthi wadai kuteka maelfu ya wanajeshi wa Saudi Arabia

Nipashe Online: Waasi wa Kihouthi nchini Yemen wamedai wamefanya shambulizi kubwa karibu na mpaka wa nchi hiyo na Saudi Arabia, na kuchapisha picha za...

Rais wa zamani wa Ufaransa Jacques Chirac afariki dunia

Nipashe Online: Rais wa zamani wa Urafansa Jacques Chirac amefariki dunia. Familia yake imesema rais huyo wa zamani wa Ufaransa amekufa kwa amani akiwa na...

Saudi Arabia yasema kuna uwezekano wa kuishambulia Iran

Nipashe Online: Waziri wa maswala ya kigeni nchini Saudia amesema kwamba watatumia mbinu yoyote kujibu mashambulizi ya hifadhi zake za mafuta , ikiwemo jibu...

Vyama vikuu vya Israel vyaanza mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano

Nipashe Online: Vyama viwili vikuu vya Israel vinakutana leo kuanza mazungumzo ya uwezekano wa kuunda serikali ya muungano kati yao. Hii ni baada ya mkwamo...

Waarabu waapa kumng’oa Netanyahu mamlakani

Nipashe Online: Wabunge Waarabu nchini Israeli wamependekeza kuwa mkuu wa majeshi wa zamani Israeli Benny Gantz ndiye anayepaswa kuwa waziri mkuu wa Israeli. Katika uchaguzi...

Iran yataka vikosi vya kigeni viondoke Ghuba

Nipashe Online: Rais wa Iran amesema siku ya Jumapili kuwa nchi yake ndiyo inastahili kuongoza usalama wa kikanda katika Ghuba ya Uajemi na kuonya...

KWA PICHA