15/08/ 2020

Mwanamuziki maarufu nchini Ivory Coast afariki dunia akiwa miaka 33

Nipashe Online: Mwanamuziki maarufu wa mitindo ya Coupé-Décalé nchini Ivory Coast, Houon Ange Didier, anayejulikana kwa jina la DJ Arafat, amefariki dunia Jumatatu Agosti...

Nicki Minaj ajitoa kwenye tamasha Saudi Arabia baada ya kukosolewa

Nipashe Online: Mwanamuziki Nicki Minaj amelazimika kuvunja tamasha alotakiwa kulifanya nchini Saudi Arabia wiki ijayo akisema anaunga mkono haki za wanawake na wapenzi wa...

Tamasha lijalo la Nicki Minaj Saudi Arabia lazua gumzo mitandaoni

Nipashe Online: Tangazo la kuwa Nicki Minaj atakuwa mmoja ya wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la muziki nchini Saudi Arabia, limezua gumza kali katika mitamdao...

Mahakama yaagiza Wema Sepetu azuiwe mahabusu siku 7

Nipashe Online: Mahakama ya kisutu imeagiza msanii maarufu nchini Tanzania Wema Sepetu azuiwe mahabusu hadi Juni 24 baada ya kukiuka masharti ya dhamana katika...

Jay-Z ndiye bilionea wa kwanza wa muziki wa hip hop

Nipashe Online: Ni rasmi Jay-Z ndiye bilionea wa kwanza wa muziki wa hip hop ,limetangaza jarida la Forbes , baada ya kujijengea ufalme kutokana...

Mwanahabari maarufu Mohammed Juma Njuguna aaga dunia

Nipashe Online: Mwanahabari wa siku nyingi nchini Kenya Mohammed Juma Njuguna amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu katika hospitali ya Nairobi. Mtangazaji huyo ambaye...

David Beckham apigwa marufuku ya kuendesha gari

Nipashe Online: David Beckham amepigwa marufuku kuendesha gari kwa miezi sita baada ya kupatikana akitumia simu wakati akiendesha gari. Kapteni huyo wa zamani wa England...

Rapa Nipsey Hussle auawa kwa kupigwa risasi huko Los Angeles

Rapa kutoka huko Los Angeles Nipsey Hussle ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya duka lake la nguo kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Marekani. Rapa...

Mtoto rapa mwenye umri wa miaka 7 atakiwa arudi shuleni Uganda

Rapa mtoto nchini Uganda ameambia aweke chini kipasa sauti chake kwa sababu bado hajafika umri wa kupiga muziki. Waziri wa vijana Florence Nakiwala alisema kuwa sheria...

Koffi Olomide ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela nchini Ufaransa

Mahakama nchini Ufaransa imemhukumu bila ya kuwepo mahakamani mwanamuziki nyota Koffi Olomide miaka miwili jela baada ya kumkuta na hatia ya kufanya mapenzi na...

KWA PICHA