15/08/ 2020

Unene unasabisha saratani kuliko uvutaji sigara kwa watu wengi

Nipashe Online: Unene kwa sasa umekuwa moja ya kisababishi cha ugonjwa wa saratani nchini Uingereza kuliko uvutaji sigara, taasisi ya saratani nchini humo imeeleza. Taasisi...

Wanawake waonywa dhidi ya kupaka mafuta sehemu za siri

Nipashe Online: Madaktari wameonya kuwa wanawake wengi wako katika hatari ya kupata saratani ya kizazi na utasa kutokana na kutumia sababu na kujipaka mafuta...

Watalaam wa afya waonya kuwa watu hawaamini chanjo

Nipashe Online: Watalaam wa afya duniani wanaonya kuwa kuendelea kupuuza chanjo mbalimbali, kunarudisha nyuma jitihada za kutokomeza magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Utafiti wa taasisi ya...

Umuhimu wa Asprin katika maisha yako

Nipashe Online: Wagonjwa amabo wamewahi kupatwa na kiharusi kutokana na hali ya damu kuvuja kwenye ubongo wanaweza kukabiliana na hali hiyo kwa kutumia asprini. Kwa...

Ifahamu siri ya kupata usingizi mzuri usiku

Nipashe Online: Mzunguko wa kulala na kuamka ni miongoni mwa tabia za mwanadamu. Huwa tunatumia muda mwingi kulala katika maisha yetu na hatuwezi kuishi bila...

Chanjo kubwa zaidi duniani dhidi ya malaria yaanza kutolewa Malawi

(Nipashe Online): Programu kubwa ambayo imejulikana kama chanjo kubwa zaidi dhidi ya ugonjwa wa malaria duniani ambayo itawapa kinga nusu watoto imeanza nchini Malawi. Chanjo...

Visa vya ugonjwa wa surua viaongezeka mara tatu duniani 2019

(Nipashe Online): Visa vya ugonjwa wa surua vilivyoripotiwa kote duniani miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2019, vimeongezeka mara tatu ikilinganishwa na wakati kama...

Kondomu mbovu za thamani ya dola 100,000 zaharibiwa Kenya

Mamlaka nchini Kenya zimeharibu mipira ya kondomu ya thamani ya dola 100,000 aina ya Fiesta. Hii ni baada ya bidhaa hizo kutofikia ubora wa viwango...

Mama ajifungua mapacha mwezi mmoja baada ya kujifungua mtoto wa kiume

Mwanamke nchini Bangladesh amejifungua mapacha takriban mwezi mmoja baada ya kujifungua mtoto wa kiume kwa mujibu wa madaktari. Arifa Sultana, 20, alijifungua mtoto mapema Februari...

Mgonjwa apona ugonjwa wa ukimwi Uingereza

Mgonjwa wa virusi vya HIV nchini Uingereza amekutwa bila ya virusi hivyo baada ya kufanyiwa kile kinatajwa kama - stem cell transplant - kisa cha...

KWA PICHA