13/08/ 2020

Mwili wa Mugabe wasafirishwa kutoka Singapore kwenda Zimbabwe

Nipashe Online: Mwili wa rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe umeondoka Singapore mapema leo Jumatano asubuhi kwenda nchini Zimbabwe ambapo atazikwa baada...

Utata waibuka juu ya ni wapi atakapozikwa Robert Mugabe

Nipashe Online: Mwili wa rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe unatarajiwa kuwasili Jumatano nchini Zimbabwe na serikali imethibitishwa kuwa mazishi yake yatafanyika katika...

Viongozi watuma pole kufuatia kifo cha Mugabe

Nipashe Online: Viongozi mbalimbali wa Afrika na ulimwenguni wanaendelea kutuma risala za rambirambi kufuatia kifo cha rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye...

Misri : Mtoto wa Mohamed Morsi afariki kwa mshtuko wa moyo

Nipashe Online: Taarifa kutoka familia ya Rais wa zamani Mohamed Morsi zinaeleza Abdullah Morsi, 24, alianza kuhisi mshituko wa mishipa mwilini mwake wakati alipokuwa...

Somalia yakabiliwa na baa la njaa

Nipashe Online: Wanaharakati wa haki za binadamu wanatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchangia ili kuepuka janga lingine nchini Somalia. Kulingana na Umoja wa...

Miraji Mtaturu kutoka CCM aapishwa kuwa mbunge wa Singida Mashariki

Nipashe Online: Miraji Mtaturu, kutoka Chama Cha Mapinduzi, CCM, ameapishwa rasmi hii leo kuwa mbunge wa Singida Mashariki. Mtaturu anachukua kiti hicho cha ubunge ambaho...

Wabunge wa upinzani TZ wasusia shughuli ya kuapishwa mbunge wa CCM

Nipashe Online: Wabunge wa Upinzani nchini Tanzania wamesusia shughuli ya kuapishwa bungeni kwa mbunge wa chama tawala CCM kuchukua nafasi ya mbunge wa upinzani...

Chuki dhidi ya raia wa kigeni yaendelea Afrika Kusini

Nipashe Online: Raia wa kigeni nchini Afrika Kusini wanaendelea kukumbwa na visa mbalimbali hasa kuuawa, mali zao kuchomwa na madhila mengine. Baadhi ya raia...

Magufuli: ‘ Vijana siku hizi wanapenda wanawake wenye magari’

Watendaji kata wametakiwa kuwasimamia vijana ili wapate ajira na kuweza kujikimu kimaisha na kuweza kutoa mahali. Rais Magufuli amezungumza hayo katika mkutano na watendaji...

Omar al-Bashir akiri kupokea mamilioni kinyume na sheria

Nipashe Online: Mahakama nchini Sudan imemfungulia rais wa zamani wa nchi hiyo Omar al-Bashir mashtaka rasmi ya rushwa na kupokea fedha kutoka nje ya nchi...

KWA PICHA