13/08/ 2020

Rais wa Burundi ahusishwa na ukiukwaji wa haki za binadamu

Nipashe Online: Kamati ya Umoja wa Mataifa inayochunguza visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi, inasema rais Pierre Nkurunziza amekuwa akihusika katika...

Rwanda na Uganda kuhakikisha uhusiano kati yao umeimarika

Nipashe Online: Rwanda na Uganda zinasema zina dhamira ya dhati ya kutekeleza kikamilifu mkataba uliotiwa saini kati ya viongozi wa nchi hizo mbili mwezi...

Mwalimu bora duniani kutoka Kenya akutana na Trump Ikulu ya Marekani

Nipashe Online: Peter Tabichi kutoka Kenya, aliyetuzwa Mwalimu bora duniani mapema mwaka huu, amekutana na rais wa Marekani Donald Trump katika ikulu ya White...

Mwili wa rais wa zamani Robert Mugabe kuzikwa mwezi ujao

Nipashe Online: Mwili wa aliyekuwa rais wa kwanza wa Zimbabwe, Robert Mugabe umehifadhiwa katika eneo alilozaliwa mara baada ya watu kumuaga katika mji mkuu...

Waziri wa zamani wa afya nchini DRC Oly Ilunga akamatwa

Nipashe Online: Waziri wa zamani wa Afya nchini DRC Oly Ilunga ambaye amekuwa akituhumiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya pesa zilizotolewa kukabiliana na...

Marekani yampiga marufuku Gen Kayihura wa Uganda

Nipashe Online: Serikali ya Marekani imempiga marufuku aliyekuwa mkuu wa polisi wa Uganda Generali Kale Kayihura, pamoja na familia yake, kuingia Marekani. Marekani ilisema ina...

Viongozi wa Afrika kumuaga rasmi Mugabe mjini Harare

Nipashe Online: Viongozi mbalimbali wanakusanyika mjini Harare kumpa buriani rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe. Viongozi mbalimbali wa Afrika wanatarajiwa kuhudhuria hafla rasmi ya...

Familia ya Mugabe yakubali Mugabe kuzikwa makaburi ya mashujaa

Nipashe Online: Familia ya rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe imekubali kiongozi huyo azikwe kwenye makaburi ya mashujaa wa kitaifa mjini Harare. Hata hivyo,...

Ajali ya treni yasababisha vifo vya watu zaidi ya 50 DRC

Nipashe Online: Treni imeanguka mapema Alhamisi asubuhi katika mji wa Tanganyika, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuua watu zaidi ya...

Rwanda yachukua wakimbizi 500 waliokwama Libya

Nipashe Online: Mamia ya wakimbizi waliokuwa wamekwama kwenye vituo vya kuhifadhi wakimbizi nchini Libya watahamishiwa Rwanda. Umoja wa Mataifa umesema hatua hiyo ni sehemu...

KWA PICHA