13/08/ 2020

Mbunge awasilisha ombi la kuondolewa kwa jaji Maraga Kenya

Mbunge wa chama tawala cha Jubilee nchini Kenya amewasilisha ombi la kutaka kufutwa kazi kwa jaji mkuu David Maraga. Mbunge huyo wa Nyeri, Njiri Wambugu...

Jaji kutoka Uganda ashinda tuzo la kimataifa la mwendesha mashtaka bora

Jaji kutoka nchini Uganda ameshinda tuzo la mwendesha mashtaka wa mwaka na chama cha kimataifa cha waendesha mashtaka (IAP) kwa mujibu wa gazeti la...

Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Burundi atekwa nyara Bujumbura

Familia ya mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Burundi inasema kuwa mwanasiasa huyo ametekwa nyara kwenye mji mkuu wa  Bujumbura. Leopold Habarugira wa chama cha UPD...

Wabunge kuondoa umri wa kuwania urais Uganda

Wabunge kutoka chama kinachotawala nchini Uganda NRM wamekubaliana kuwasilisha mswada ambao unapendekeza kuondewa miaka ya kuwania urais nchini Uganda. Ikiwa watafaulu mswada huo utamwezesha Rais...

Bunge limefunguliwa Kenya, upinzani umesusia

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewataka wabunge kuheshimu katiba wakati wa kufunguliwa bunge kwenye kikao chake cha kwanza tangu ufanyike uchaguzi wa tarehe 8...

Grace Mugabe: Ni mimi nilishambuliwa Afrika Kusini

Mke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe amesema kuwa ni yeye aliyeshambuliwa wakati ya kisa cha mwezi uliopita na mwanamitindo raia wa Afrika Kusini Gabriella...

Maafisa wa forodha wakamata bunduki 1000 Nigeria

Maafisa wa forodha nchini Nigeria kwenye mji wa Lagos nchini Nigeria, wamekamata shehena iliyokuwa imajazwa bunduki 1,000 ambazo zinatajwa kuinguzwa nchini humo kinyume na...

Ghana yaanza kutoa elimu ya bure ya secondari

Pragramu mpya ya elimu ya bure ya sekondari imeanza  nchini Ghana Hii ndiyo ilikuwa ahadi kuu iliyotolewa na rais Nana Akufo-Addo ambaye alichaguliwa mwaka uliopita. Wanafunzi...

KWA PICHA