13/08/ 2020

Mahakama yawazuia viongozi wa Chadema kusafiri nje ya nchi

Nipashe Online: Hakimu mkazi wa mahakama ya Kisutu amekataa maombi ya kusafri nje ya maafisa wawili wa Chadema, limeripoti gazeti la The Citizen nchini...

Rais Kenyatta na Farmajo wakubaliana kurejesha uhusiano wa nchi zao

Nipashe Online: Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Somalia Mohamed Farmaajo wamekubaliana kurejesha ushirikiano kati ya nchi zao, lakini wameshindwa kukubaliana kuhusu...

Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda auawa kwa kuchomwa kisu

Nipashe Online: Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Rwanda amedunguwa kisu na kuuawa, chama chake cha FDU-Inkingi kinasema. Syridio Dusabumuremyi, mratibu wa chama hicho cha upinzani...

Wanafunzi 7 wafariki baada wa kuangukiwa na ukuta Nairobi

Nipashe Online: Wanafunzi saba wa Shule ya msingi katika mtaa wa Dagoretti jijini Nairobi nchini Kenya, wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya kuangukiwa...

WHO: Tanzania haikutoa taarifa kuhusu ugonjwa wa Ebola

Nipashe Online: Shirika la afya duniani limelalamikia ukosefu wa ushirikiano kutoka serikali ya Tanzania katika utoaji taarifa kuhusu visa vinavyoshukiwa kuwa vya Ebola nchini. Katika...

Aliyekuwa kiongozi wa Tunisia Zine Ben Ali azikwa Saudi Arabia

Nipashe Online: Aliyekuwa kiongozi wa kidikteta nchini Tunisia Zine Ben Ali alizikwa jana Jumamosi uhamishoni nchini Saudi Arabia. Ben Ali aliyekuwa na umri wa miaka...

Waziri ataka wapenzi wa jinsia moja kukamatwa Zanzibar

Nipashe Online: Naibu waziri wa mambo ya ndani Tanzania Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza jeshi la polisi visiwani humo kuwakamata wanaoendesha maswala ya Ushoga na...

Rais Kiir aonya kuunda serikali ya pamoja bila ya Riek Machar

Nipashe Online: Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, ameonya kuwa huenda akalazimika kuunda serikali ya pamoja iwapo kiongozi wa upinzani Riek Machar hatarejea jijini...

Wanawake wawili Kenya wabadilishana waume zao

Nipashe Online: Wanawake wawili kutoka kaunti ya Busia, magharibi mwa Kenya wamewaacha watu na bumbuwazi mara baada ya kubadilishana waume zao kwa lengo la...

DRC: Maswali mengi yaibuka kuhusu kifo cha kiongozi wa FDLR

Nipashe Online: Katikati mwa wiki hii jeshi la Jamhuri ya Kidemkorasia ya Congo (FARDC) lilitangaza kwamba "lilimuua" kiongozi mkuu wa kundi la waasi wa...

KWA PICHA